Java Games: Flashcards, matching, concentration, and word search.

Wakati Uliopo Kanusho

Use these activities to review negating present tense verbs.

AB
ninasomasisomi
unasomahusomi
anasomahasomi
tunasomahatusomi
mnasomahamsomi
wanasomahawasomi
naendasiendi
wewe waendahuendi
aendahaendi
twaendahatuendi
mwaendahamendi
ninajibusijibu
unajibuhujibu
anajibuhajibu
tunajibuhatujibu
mnajibuhamjibu
wanajibuhawajibu
nafahamusifahamu
afahamuhafahamu
twafahamuhatufahamu
mwafahamuhamfahamu
wao wafahamuhawafahamu
wewe wafahamuhufahamu
wao waendahawaendi
ninapendasipendi
unapendahupendi
anapendahapendi
tunapendahatupendi
mnapendahampendi
wanapendahawapendi
naamkasiamki
wewe waogahuogi
anywahanywi
twalahatuli
mwasafishahamsafishi
wao waangaliahawaangalii


Mwalimu Zuhura

This activity was created by a Quia Web subscriber.
Learn more about Quia
Create your own activities